Maishafrika Adventure for the best Safari in East Africa

Saturday, July 26, 2014


 
 
MAMA MARIA NYERERE
Viongozi wametakiwa kuheshimu maoni ya wananchi wote bila kubagua ili kuepuka migogoro isiyo ya lazima na kuendeleza Amani ya nchi iliyozoeleka.
Mke wa Rais wa kwanza wa Tanzania Julias Nyerere, Maria Nyerere ametoa kauli hiyo alipokuwa akizindua kitabu cha Dancing with destiny kilichotugwa na Urmila Jhaveri
Mama maria nyerere amesema hata kama mtu hajui kuandika wala kusoma mawazo yake yanaweza kutumika na kuleta maendeleo nchini,
Mtunzi wa Kitabu hicho Urmila Jhaveri amesema ametunga kitabu hicho kwa kuwa amezaliwa Tanzania na nia yake ni kuonesha historia ya nchi enzi za mkoloni kitu ambacho kitachangia isipotee na kusaidia vizazi vijavyo
                       
 

No comments:

Post a Comment