Maishafrika Adventure for the best Safari in East Africa

Saturday, March 28, 2015

KITU HICHO


 
Hii ndo habari ya sasa hakuna cha twist sijui nini kukaa chini siku mbili kusuka nywele, yani kitu smart na unapata muonekano wa ukweli.

Sunday, March 22, 2015

Thursday, January 15, 2015

Pendeza na My Arusha Collection

 
 T.shirt ni shilingo 10,000 zote ni nyeupe mbele, mikononi na upande wa nyuma zina rangi toufauti, Rangi zinazopatikana ni nyeusi, blue, kijivu na nyeupe kote.



T.shirt ni shilingo 10,000 zote ni nyeupe mbele, mikononi na upande wa nyuma zina rangi toufauti, Rangi zinazopatikana ni nyeusi, blue, kijivu na nyeupe kote.
 


 
 Vest Shilingi 15,000 tu kwa pakiti, packet moja ina vest 3





 
Jeans na kadet pia zinapatikana, Bei ni shilingi 25,000 na size zilizopo ni 34 tu, kadet tuna size 30, 32, na 34 na rangi ni nyeusi, beige na army green.

Wednesday, November 5, 2014

JE UNA LIPI LA KUSEMA KWA KRISS JENER?

 
Huyu ni Kriss Jenner na boyfriend wake mpya anaejulikana kwa jina la Corey Gammble
 


Hapa ni Kriss akiwa nakula bata ni new boyfriend




Uhusiano huu umemshtua kila mtu, manake watu hawakutegemea kama Chriss andeweza kuwa na kijana kama huyu tena mweusi!!!!




Wenyewe kwa raha zao jamani na muwaache walale




Jana ndipo kadamnasi ilipotambulishwa rasmi kupitia reality show yao ijulikanayo kama "Keeping up with Kardashian" inayoonyeshwa kwenye channel ijulikanayo kama E ambayo ina deal zaidi na Celebrities wakubwa nchini Makerakani.




Huyu ndiye aliyekuwa mume wa Kriss na hatimaye walitalikiana mapema mwaka huu. Mume wake huyu anajulikana kwa jina la Bruce Jener na wamekuwa wanandoa kwa muda wa miaka 23 kabla ya kuja kutalikiana mwanzoni mwa mwaka huu.



Kim na Kanye West wakizungumza jambo Fulani. Kim ni binti yake Kriss lakini amekua akikasirishwa sana na mama yake kwa kujaribu kuiga kila analolifanya. Ikiwa ni pamoja na kujaribu kuwa karibu na marafiki wa Kim na kuwafanya marafiki zake zaidi kuliko Kim mwenyewe aliemfanya mama yake awajue. Na inasemekana Kriss Jenner kuwa na Corey ni kujaribu kumuiga Kim kwa vile yupo na Kanye na wanaonekana ni watu wenye furaha.



Huyu ni binti wa mwisho wa Kriss ambae anaita Kholoe Kardshian, Kholoe amefurahia mahusiano mapya ya mama yake na ana sisitiza kwamba anafurahi kumuona mama yake kwenye mahusiano mapya na pia anafurahi kumuona mama yake akiwa na furaha kwasababu Corey ni mtu mzuri sana. Na pia Kholoe anasisitiza kuwa bado anampenda Bruce (aliekuwa mume wa mama yake) na ataendelea kuwa baba yake tu.

Wednesday, October 22, 2014

THIS IS THE FIRST THING A WOMAN WOULD NEED "HAND BAG"

Pochi ni sehemu muhimu sana katika maisha ya mwanamke. Pochi zipo za aina, rangi, ukubwa na matumizi mbali mbali. Ni nadra sana kukutana na binti au mama anayetembea bila pochi, na kwa wengine maisha yao yote wanatembea nayo kwenye pochi.