Friday, October 31, 2014
Wednesday, October 22, 2014
THIS IS THE FIRST THING A WOMAN WOULD NEED "HAND BAG"
Pochi ni sehemu muhimu sana katika maisha ya mwanamke. Pochi zipo za aina, rangi, ukubwa na matumizi mbali mbali. Ni nadra sana kukutana na binti au mama anayetembea bila pochi, na kwa wengine maisha yao yote wanatembea nayo kwenye pochi.
Thursday, October 16, 2014
Monday, October 13, 2014
CLASSIC SHAPE SUN GLASSES SOLD FOR ONLY 10,000 Ths
SUN GLASSES FOR A VERY REASONABLE PRICE. HII YA KWANGU NI KAMA HIYO HAPO YA TATU.
MSIMU WA KIANGAZI HUU PATA MUONEKANO KWA BEI RAHISI TU
HIZI NI HASA KWA WANAWAKE WAREMBO NA WAJANJA WOTE
HII MIWANI NDO KAMA NILIYOIVAA MIMI
HII INAPENDEZA ZAIDI WANAUME
PATA MUONEKANO KIJANA WA KISASA
Friday, October 10, 2014
Saturday, October 4, 2014
ALL THESE ARE MADE FROM KIKOY
My sweat heart sitting room and bed full of Kikoy Pillows
The hand bad and makeup bag. Very usefully when you are traveling
One of the pillows that was made from Kikoy
Thursday, October 2, 2014
Sunday, September 28, 2014
PATA MUONEKANO NA KIKOY, TUNA RANGI TOUFAUTI NA WAWEZA PATA JUMLA NA REJAREJA.
KIKOY KWA NEI POA PRESS YOUR ORDER TUNAKULETEA ULIPO
KUNA RANGI ZA KILA AINA NI WEWE TU WAIPENDA IPI
STOCK IPO YA KUTOSHA
JINSI YA KUJIFUNGA NDO KAMA HIVI. PATA KIKOY CHAKO SASA.
Friday, September 26, 2014
BACK PACK AT ONLY 30,000
Back Pack at 30,000. Green Canvas which last longer, For orders please inbox me your number on face book ( my arusha collection) and l will get back to you. Huu ni muonekano hadimu kabisaa.
HUU NI UNYAMA ULIOPITILIZA JAMANI
Huu ni unyama uliopitiliza, watu tumekosa ubinadamu kabisaa. Hii imetokea mkoani mwanza na hadi sasa haijajulikana sababu, Polisi bado wako kwenye uchunguzi. Watanzania tupunguze hasira jamani dah.
Subscribe to:
Posts (Atom)

















































