Kuwa strong, independent woman si rahisi kwani kuna changamoto nyingi sana. Ila kifupi ni mwanamke kuwa strong na independent woman. Na ili kuwa strong na independen wowan kuna ambayo unatakiwa kuyafahamu. Nayo ni kama ifuatavyo;
Strong and independent woman do not neglet their careers. Firstly independent woman have their careers always at the forefront of their lives. Working hard is something everyone should do. Fanya kazi kwa bidii utaona matunda siku moja.
Independent woman dont fail to handle their own situations. Kitu kimoja cha muhimu zaidi ni kwamba independent woman always handle their own situations iwe ni mbaya ama nzuri. lndependent woman ufunga mdomo pale anapokuwa na shida ama tatizo kwenye maisha yake badala ya kumueleza kila mtu.
They do not over react to bad situations or mistakes. They do let the mistakes roll off their backs and to learn from their bad choice.
They do not rise to the bait of haters. Maadui wapo wengi sana katika maeneo yetu tunayoishi. Lakini huna haja ya kushindana na adui yako. Unatakiwa kushindana naye kwa maendeleo na busara zaidi.
They dont stop learning. Unatakiwa kujifunza zaidi ya unachokijua kwenye taaluma yako.
They also dont let other people affect their confidence. Jipende vile ulivyo na usiruhusu mtu yeyote kukunyima confidence kwa jinsi muonekano wako ulivyo.
La mwisho na la muhimu manaishi maisha yao na hawafanyi kitu ili kumkomoa mtu bali wanafanya kile chenye manufaa kwao. Nawatakia siku njema wote